Kifo cha Utata! Mtoto Azikwa, Afukuliwa, Jirani Asimulia – Video

GLOBAL TV imeendelea kufuatilia tukio la mtoto wa miaka (9) aliyefariki dunia na baadaye mwili wake kufukuliwa, baada ya mama yake mzazi kuziomba mamlaka husika kufukua mwili huo ili aweze kujua chanzo cha kifo chake.

Toa comment