The House of Favourite Newspapers

Kigoma: Mzee Aliyetoka Arusha Hadi Kigoma Kwa Baiskeli Atabiri -Video

0


Katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba dhidi ya Yanga inayotarajiwa kupigwa leo Jumapili katika Dimba la Lake Tanganyika mjini Kigoma, mashabiki elfu 17 pekee ndiyo wataruhusiwa kuingia uwanjani.

Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Kigoma, Omary Gindi amefunguka kuwa, kila kitu kipo sawa na kinachosubiriwa ni muda tu ili kipigwe.

Anasema wameruhusu mashabi hao elfu 17 pekee kwa sababu ndiyo idadi watu ambao wanaweza kuingia kwenye uwanja huo.

Leave A Reply