The House of Favourite Newspapers

Kigwangala Azindua Mkutano wa vijana kujadili Maendeleo Barani Afrika

DK.Hamis Kigwangalah akizungumza jambo kwenye uzinduzi huo.

 

NAIBU Waziri wa Afya,Maendeleo,Wazee na Watoto, DK.Hamis Kigwangalah amefungua Mkutano wa vijana barani Afrika unaolenga vijana kujadili namna wanavyoweza kujikwamua kiuchumi.

Wadua wa maendeleo wakifuatilia jambo kwa makini kwneye uzinduzi huo.

Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Kijana akihutubia katika uzinduzi huo.

 

Mkutano ukiendelea.

 

 

Comments are closed.