
BAADA ya kijana maarufu mitandaoni nchini Uingereza, Braydon Bent (10), kutupia video hii katika ukurasa wake wa Twitter, Waziri wa Maliasili na Utalii nchini, Hamisi Kigwangalla, amempa ‘ofa’ kuja kutembelea Tanzania kwa gharama ya Serikali na kumteua kuwa Balozi wa Hiari wa Tanzania.

Braydon amepata umaarufu mkubwa mitandaoni kutokana na kuwa na umri mdogo lakini amekuwa mchambuzi mzuri wa masuala ya soka hasa kwa timu anayoishabikia ya Manchnster City.
Msikie Braydon Bent Akizungumza Hapa


Comments are closed.