The House of Favourite Newspapers

Kijana Aliyefanana Na Sokwe Ageuka Staa Duniani-Video

0

WASWAHILI wanasema Mungu sio hapangiwi….! Huu ni miongoni mwa misemo maarufu ya kiswahili inayotumiwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa jambo ambalo lilionekana kutowezekana kisha kuwezekana.

 

Ni takribani miezi nane iliyopita, hadithi ya kijana Nsanzimana Elie, mwenye umri wa miaka 21, kutoka kusini mwa Rwanda ilipeperushwa na kituo cha Afrimax, na kusambaa karibu Dunia nzima.

Leave A Reply