The House of Favourite Newspapers

Kijana Aliyeuawa Na Hamas Israel Baba Aelezea, Safari Yake, Kutekwa Na Kifo – Video

0

Baba mzazi wa kijana wa Kitanzania, Clemence Felix ambaye ameuawa kufuatia mapigano kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wa Palestina, baada ya kutekwa nchini Israel alikokuwa ameenda kimasomo, amezungumza na Global TV na kusimulia mkasa wa mwanaye huyo kuuawa.

Leave A Reply