Kikongwe Akatwa Miguu Kimaajabu, Ndugu Wamekufa, Mwanae Amtelekeza – Video

GLOBALJAMII WIKI HII: Tulipata nafasi ya kukutana na Bibi Mwenye umri Wa miaka 65 ambaye kwa sasa anasumbuliwa na tatizo la Moyo Mkubwa, Presha Kisukari, matatizo ambayo yalisababisha akavimba mwili mzima na Miguu yake kuanza kutoa funza ndipo alipolazimika kukatwa miguu hiyo yote miwili.
Bibi huyu katika familia yao walizaliwa watoto tisa lakini wote WAMEFARIKI amebaki peke yake.

