Kikosi cha AL AHLY Chatua Nchini Usiku -Video

Kikosi cha Wachezaji 22 wa Al Ahly ya Misri wametua nchini Feb 19, 2021 usiku kucheza dhidi ya Simba SC Februari 23, 2021 Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Kundi A wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi.

Toa comment