Yanga Watua Zanzibar kwa ajili ya mchezo dhidi ya klabu ya CBE
Kikosi cha Yanga kimeshafika Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya CBE katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika mchezo unaotarajiwa kuchezwa siku ya jumamosi ya Septemba 21, 2024 katika dimba la Amani Stadium.