The House of Favourite Newspapers

KILELE WIKI YA WANANCHI: Uwanja wa Mkapa Walipuka Kwa Shangwe (Picha +Video)

0

LEO Uwanja wa Mkapa ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo kutakuwa na utambulisho wa wachezaji wapya pamoja na wale ambao walikuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21, hali ipo namna hii wakati huu.

Mwenyekiti wa Yanga Sc, Dr. Mshindo Msolla akiwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Mashabiki wa Yanga wakiendelea na shangwe.


Leave A Reply