Kitu cha Ajabu Chagunduliwa Kwenye Kaburi la Kale

KARUBI  la kale linalokisiwa kuwa la zaidi ya miaka 3,500 limegunduliwa Misri.  Wataalam wa masuala ya kale walioshirikiana na chuo cha Ufaransa cha Strasbourg walifanya ugunduzi huo katika bonde la Assasseef karibu na mji wa Luxor.

Majeneza mawili ya miili yaligunduliwa ambapo paligundulia pia vifaa vipatavyo 1,000 vya kale. Kaburi hilo linaaminiwa kuweko tangu miaka ya 1550 BC na 1300 BC.

Toa comment