The House of Favourite Newspapers

Kilimanjaro Stars Yaaga Mashindano ya Kombe la Mapinduzi

0

Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya Kenya ikiwa ni ni kipigo cha pili mfululizo baada ya kuanza kwa kipigo cha 1-0 dhidi ya Zanzibar Heroes.

Hata hivyo Kilimanjaro Stars licha ya shughuli Yao kuishika hapa bado wana mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba, dhidi ya Burkina Faso.

FT: TANZANIA 0-2 KENYA
56’ Boniface Muchiri
68’ Ryan Ogam

“ZINGATIENI MAADILI AU MKABILIWE na SHERIA” – WAZIRI GWAJIMA AWAPA ONYO KALI WAZALISHA MAUDHUI….

Leave A Reply