Kimya cha Miaka 8, Westlife Waibuka na Video Mpya ‘Hello My Love’

 

IKIWA ni baada ya kukaa kimya kwa miaka 8 bila kutoa ngoma huku mashabiki wao wakijiuliza ni nini kimewasibu kwa muda wote huo, kundi maarufu la muziki wa pop duniani, ‘Westlife’ wameileta video yao mpya ‘Hello my Love’.

 

Wimbo umeandikwa na hit maker wa Shape of you ‘Ed Sheeran’ hata ukiusikiliza unaelekea kama wimbo wa ‘Castle on hill‘ unaopatikana kwenye albamu ya Divide iliyotoka mwaka 2017.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment