The House of Favourite Newspapers

Kipindi cha Joto la Asubuhi cha EFM chazidi kuwafikia wasikilizaji

0

1   Mzee wa kunyavua na kunyumbulisha PAUL JAMES SWEYA (PJ) kwenye Kipindi cha Joto la Asubuhi.

2Msanii Sholo Mwamba akiimba wimbo wake mpya wa Geto kwa wakazi wa Bunju.

3Young Yuda akifanya yake.

4Wakazi wa Bunju wakishuhudia live kipindi cha Joto la asubuhi.

Msanii wa Singeli, sholo Mwamba leo amezindua wimbo wake wa Geto katika kipindi cha JOTO LA ASUBUHI kinachorushwa moja kwa moja kila mwisho wa wiki na na Kituo cha Efm Redio pale Bunju- sokoni ili kuwafikia wakazi wa Jiji la Dar es salaam katika maeneo yao mbalimbali.

Mbali na Sholo Mwamba msanii pekee wa kike anayeimba miondoko ya Singeli nchini Young Yuda amemshirikishwa na msanii wa Bongo fleva, Rama Dee katika wimbo wake uitwao Mazoea aliouzindua jana katikia kipindi cha asubuhi cha EFM redio.

STORI NA GABRIEL NG’OSHA/GPL

Leave A Reply