Kipindi Maalum, Mtazame Kipofu Anayefanya Kazi ya Useremala
Global TV Online, inakuletea kipindi maalum cha mzee ambaye ni kipofu lakini anajishughulisha na kazi ya ufundi seremala Unadhani inawezekana kipofu akaua namna ya kupigilia misumari, kukata mbao, kupiga randa mpaka meza ikakamilik? Basi tazama hii kupitia Youtube Channel yetu.
Comments are closed.