The House of Favourite Newspapers

Kisa Kudaiwa na kaka yake, Gari la Waziri Tizeba Kupigwa Mnada – Video

Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Geita, limetoa amri ya kukamata na kuuza gari lenye namba T 961 DEZ, aina ya Toyota Land Cruiser V8 la Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba, ili kulipa gharama anazodaiwa na kaka yake aitwaye Adrian Tizeba.

 

Amri hiyo ilisainiwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo A.M.Kapinga, Machi 9 mwaka huu ikiipatia kampuni ya Tisa Auction Mart and General Court Brokers mamlaka ya kukamata na kupiga mnada gari hilo, kwa maelezo zaidi juu ya undani wa habari hii , angalia video hii.

Comments are closed.