The House of Favourite Newspapers

Kisa Video Yake na Diamond, Wema Awapa Makavu Akina…. – Video

MALKIA wa Bongo Movie, Wema Sepetu amewaponda wanaofuatilia maisha yake mara baada ya kupiga kipande cha video akiwa na X wake ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz usiku wa kuamkia jana kwenye birthday party ya DJ Rommy Jones.

 

Katika Video hiyo, iliyoonekana kwenye Snap ya Madame, wawili hao walikua waki-enjoy kabla ya party kuanza lakini wakati wa party kuanza Diamond alionekana peke yake na Wema hakufika katika party hiyo.

Povu la Wema hili hapa;

“After all being said, let me take this opportunity to say something very short & clear, I dont live my life according to whta people want me to do, I live my life according to what i want me to do.

“Mambo mengi mmesema only after video za Snapchat, really? Kama ni matusi nimezoea mno, ila tu nimeona bora niulize, kwani niki-snap na Naseeb mbona kunakuwa na mgongano & niki-snap na watu wengine inakuwaga poa tu?

“Gimme a Break please, watu tusifanye kitu kisa kuogopa watu, tumekua sasa maisha mengine lazima yaendelee, msikariri maisha, ni kosa kubwa sana… 🖤Happy Saturday loves🖤.”

 

Kabla ya hapo, Diamond naye alimtolea povu moja ya mashabiki wake kutokana na video hiyo.

Shughuli ilianzia hapa, wadaku wakaanza povu, Mondi akawajibu, Wema naye kawalipua.

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Comments are closed.