The House of Favourite Newspapers

Kiss Daniel Anusa Kifo!

0

kiss Daniel (3) Staa wa muziki Nigeria, Anidugbe Oluwatobiloba Daniel “Kiss Daniel”.

Lagos, Nigeria

STAA wa muziki kutoka Nigeria, Anidugbe Oluwatobiloba Daniel, maarufu kama Kiss Daniel, ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya “Woju”, usiku wa kuamkia jana alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari.

kiss Daniel (1)Baada ya kunusurika na ajali hiyo Kiss Daniel aliandika kwenye mtandao wa Instagram akiwaasa watu wasiendeshe magari wakiwa wanawasiliana kwa simu (hasa kwa kuchati), hiyo iliashiria kuwa pengine ajali hiyo ilimpata wakati akiendesha huku akichati.

kiss Daniel (2)Alichokiandika Kiss Daniel

Morning guys..    don’t press ur phone while driving fam, it’s never a good idea. Crashed into a canal last night @ lekki, all thanks to dese guys and some loyal fans that help get I and my producer out and the car… I wanna say a very big thank u to @djcoublon for screaming like a Yankee baby    before the crash.. Bro u nailed it . We thank God, we still alive“.

DJ-Coublon-HottestDJ Coublon

Katika gari hilo alikuwemo pia prodyuza wake, DJ Coublon ambaye ametengeneza ngoma mpya ya Kiss Daniel ya “Good Time‘” na nyingine kali ya Tekno inayojulikana kama “Wash“.

Leave A Reply