Kisutu: Diamond, Mobeto Wamalizana Mahakamani

Mobeto akiwasili mahakamani.

MSANII wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ na mzazi mwenzake Hamisa Mobeto, leo Feb. 13, 2018 wamefika tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi ya madai ya matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na Hamisa ambapo Mahakama imeifuta kesi hiyo baada ya wawili hao kupatana nje ya mahakama.

Diamond akiwasili mahakamani.

 

Katika Shauri la kesi hiyo, Mobetto alikuwa akiomba Mahakama iamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, ambapo uamuzi huo umetolewa katika mahakama ya watoto Kisutu.

DIAMOND NA MOBETO WALIVYOWASILI TENA MAHAKAMANI LEO

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment