The House of Favourite Newspapers

Kisutu: Hukumu ya Malinzi na Wenzake Yaanza Kusomwa

0

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeanza kusoma hukumu dhidi ya aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na wenzake watatu.

 

Hukumu hiyo imeanza kusomwa mchana huu na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Maira Kasonde. Mbali na Malinzi, washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo, Selestine Mwesigwa; Mhasibu wa TFF, Nsiande Mwanga, na Karani Flora Rauya.

 

Washtakiwa kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na utakatishaji fedha. Itakumbukwa kuwa, Julai 23, 2019, mahakama hiyo, iliwakuta na kesi ya kujibu.

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave A Reply