The House of Favourite Newspapers

Kiza Kinene, Warda Bado Hajapatikana, Milioni 3 Atakayemuona Kutolewa -Video

Dau la shilingi milioni 3 limetangazwa kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa binti mdogo, Warda Mohammed (15), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu, Kibaha aliyepotea tangu April 19, 2023.

Kama unazo taarifa za UHAKIKA na za KUAMINIKA kuhusu mahali alipo Warda, piga simu namba zifuatazo:

0689498684
0715153757

NB: Tazama picha ya Warda kwenye Pinned Post ya kwanza kwenye ukurasa huu.