Klabu 15 Zaikubali GSM

Klabu 15 kati ya 16 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Bara zimetoka na azimio la kuunga mkono Udhamini wa Kampuni ya GSM kwenye Ligi hiyo na ziko tayari kuvaa nembo za Mdhamini huyo mwenza wa Ligi hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Bodi ya Ligi iliyotolewa vilabu hivyo pia vinepongeza juhudi za TFF na Bodi ya Ligi kusaka wadhamini na zimeomba kuendelea na juhudi za kusaka wadhamini wengine.706
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment