Michezo Klabu ya Simba Yatambulisha Jezi za Msimu Mpya Last updated Jul 24, 2024 Share Uongozi wa klabu ya Simba SC chini ya Mwenyeketi wa klabu Murtaza Mangungu wametambulisha Jezi mpya leo Julai 24, 2024 za msimu wa 2024/25 katika Mbuga ya Mikumi, Mkoani Morogoro. Share