The House of Favourite Newspapers

Klabu za Jogging zapewa zawadi, Dar Live

0

IMG-20160131-WA0017Diwani wa Kata ya Gerezani, Fatuma Abubakar (wa pili kushoto), akikabidhi zawadi ya jezi kwa Amani Jogging walioshika nafasi ya kwanza kwenye mpira wa mikono, zikishuhudiwa na Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo (kushoto).IMG-20160131-WA0018…Diwani akikabidhi zawadi kwa Kongowe Jogging, washindi wa kwanza wa mpira wa miguu.IMG-20160131-WA0024Meneja wa Dar Live, Mbizo kushoto, akimkabidhi zawadi kiongozi wa Biafra Jogging iliyoshika nafasi ya pili katik mpira wa mikono.IMG-20160131-WA0026Washindi wa pili mpira wa miguu,  Sokomjinga Jogging wakipokea zawadi ya mpira.IMG-20160131-WA0025Wakiwa kwenye picha ya pamoja.

(Picha Gabriel Ng’osha)

Leave A Reply