#GlobalMusic: K.O Apigania Penzi La Mtoto Wa Kitajiri Kwenye ‘Pretty Young Thing’ – (Video)

Rappa kutoka South Africa na Boss wa Cashtime Life K.O anaileta kwetu official music video ya wimbo wa ‘Pretty Young Thing’.

‘Pretty Young Thing’ ni stori ya mkaka kutoka uswailini (ghetto) aliyezimika kimapenzi na msichana kutoka kwenye familia ya kitajiri. Licha ya kuwa maisha yao ni dunia mbili tofauti wawili hao wanajitahidi kulipigania penzi lao dhidi ya vikwazo vinavyowekwa na familia ya msichana huyo ambayo haipendezwi na uhusiano wake na mwanaume huyo mwenye maisha ya kigansta.

I was a cassanova used to think I’d never settle, multiple lovers in every city and every ghetto, I knew the life I was living was very jello… I know reputation superseeded the boy, but I finally found everything I ever needed in a woman..” – K.O amwimbia mpenzi wake.

Itazame stori yao kwenye hizi dakika nne hapa chini.

K.O – ‘Pretty Young Thing

Producers: Kam De La Kam, K.O & Scales
Composers: Ntokozo Mdluli, Motlana Mofokeng, Mfundo Mbuli, Tsholofelo Moremedi, Manqoba Sishi.

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

Video: YouTube/ Cashtime Life.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine kali zikufikie kwa wakati.

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment