Kocha Ibenge Afunguka Kujiunga Simba, Aitaja Yanga – Video

Kocha wa Timu ya Taifa ya DR Congo na Klabu ya AS Vita ameeleza kuhusu tetesi za kujiunga na Simba SC na kusema kuwa itakuwa heshima kubwa kwake kufanya kazi na Simba au Yanga na Azam kwani ni miongoni mwa timu kubwa.

 

Pia Kocha Ibenge amesema kuwa kundi walilopangwa ambalo wapo na Simba ni kundi gumu lakini anaamini atamaliza katika nafasi mbili za juu.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx


Toa comment