The House of Favourite Newspapers

Kocha wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Vijana TanZebras FC Akabidhi Medali

0
Kocha wa timu ya mpira wa miguu ya Vijana na Watoto  TanZebras FC, Martin Hammel (kushoto) akimvalisha medali ya silva mmoja wa wachezaji wa timu hiyo, Faridi Abdallah kwa ushirikiano bora wakati wa hafla ya kuwaweka pamoja wazazi na watoto iliyoandaliwa na timu hiyo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mshauri wa timu hiyo, Bishop Bhiye. Timu hiyo ni Muunganiko wa timu ya Tanzania na Ujerumani.
Kocha wa timu ya mpira wa miguu ya Vijana na Watoto  TanZebras FC, Martin Hammel (kushoto) akimvalisha medali ya silva mmoja wa wachezaji wa timu hiyo, Kelvin Mazika kwa ushirikiano bora wakati wa hafla ya kuwaweka pamoja wazazi na watoto iliyoandaliwa na timu hiyo jijini Dar es Salaam juzi. Timu hiyo ni Muunganiko wa timu ya Tanzania na Ujerumani.

 

Leave A Reply