Koffi Olomide Amfuata Diamond Kufanya Kolabo

MSANII mkongwe kutoka DRC Congo amewasili nchini usiku wa kuamkia Ijumaa wiki hii, Novemba 20, 2020. kwa ajili ya kufanya kazi za muziki na mwanamuziki Diamond Platnumz na atakuwepo hapa mpaka watakapozikamilisha.

 

Koffi atakuwa msanii mwingine kutokea DR Congo kufanya kazi na Diamond baada ya Fally Ipupa na Innoss’B.

 

Naye meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK, amesema wimbo wa wawili hao tayari hadi sasa umeshavuna (hit) katika kiwanda cha Bongo Fleva.

Toa comment