KUDANGA SIYO ISHU KWA FAIZA !

Faiza Ally

MWIGIZAJI wa filamu Bongo na mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ameeleza kuwa kudanga kwake siyo ishu kwani kama mtu anafanya hivyo kwa kufanya kitu cha maana siyo tatizo.

Akipiga stori na Ijumaa, Faiza alisema kama ni kudanga amedanga, lakini alifanya hivyo kwa malengo fulani kwa sababu hakuna anayependa kudanga, alipotatua shida yake kwa sasa amekuwa shujaa na anayejitokeza na kumcheka hajitambui. “Nilidanga kwa sababu zangu nilizokuwa nazo na mwisho wa siku naendelea na maisha yangu,” alisema Faiza.

Stori: Imelda Mtema, Dar

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO


Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Loading...

Toa comment