The House of Favourite Newspapers

KUELEKEA DROO KUBWA… SHINDA NYUMBA YATIKISA TEMEKE

0

Kuelekea droo kubwa, Shinda Nyumba yatikisa Temeke Watu wajitokeza kujaza kuponi kama inavyoonekana pichani. Mtu anaruhusiwa kutuma kuponi nyingi awezavyo!

SHINDA NYUMBA YATIKISA TEMEKE
Msomaji wa Vetenari akijaza kuponi.
SHINDA NYUMBA YATIKISA TEMEKE
Mr Shinda Nyumba akimpa maelekezo jinsi ya kujaza kuponi ya Shinda Nyumba, msomaji mkazi wa Vetenari.
SHINDA NYUMBA YATIKISA TEMEKE
Msomaji akikata kuponi ya Shinda Nyumba.
SHINDA NYUMBA YATIKISA TEMEKE
Msomaji wa Magazeti ya Global mkazi wa Sokota Temeke akijaza kuponi.
SHINDA NYUMBA YATIKISA TEMEKE
Wasomaji wa Sokota Temeke wakijaza kuponi.
SHINDA NYUMBA YATIKISA TEMEKE
Msomaji anayejulikana kwa jina la Rasta, mkazi wa mtaa wa Yombo akijaza kuponi.
SHINDA NYUMBA YATIKISA TEMEKE
Shabiki wa Yanga akijaza kuponi ya Shinda Nyumba nje ya Uwanja wa Taifa.
Leave A Reply