KUFURU ya HARMONIZE kwa SARAH Stejini – Video
BALAA lilikuwa la aina yake, usiku wa kuamkia leo Mei 4, ambapo staa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Harmonize, alifanya kufuru ya aina yake kwa kuujaza uwanja wa Majimaji Stadium Songea, na kugonga shoo ya kufa mtu.
Wakati wa akikinukisha jukwaani, Harmonize aliwa-surprise mashabiki wake wa Songea kwa kumpandisha mpenzi wake, Sarah, na kucheza nae wimbo wake wa Niteke, balaa ndo likanoga, shangwe kama zote kutoka kwa mashabiki.
Comments are closed.