The House of Favourite Newspapers

KUMBE DRAKE NI MZEE WA DOGODOGO

Image result for bella harris drake

RAPA maarufu nchini Marekani, Aubrey Graham ‘Drake’ ajakauka midomoni kwa watu baada ya kusambaa kwa picha yake akiwa na msichana ambaye inasemekana ndiye mchumba wake kwa sasa.  Wawili hao walionekana pamoja kwa mara ya kwanza walipohudhuria shoo ya mwanamuziki Rihanna ndipo paparazzi walipopata picha zao wakiwa katika mapozi ya kimahaba huku wengi wakidhani ni tetesi za uongo kwa kuwa binti huyo ni mdogo kwa Drake na kwamba walianza uhusiano akiwa na umri wa miaka 16.

Kwa hivi sasa, Drake yupo katika uhusiano na mtoto wa Prodyuza Jimmy Jam’s anayefahamika kama Bella Harris mwenye umri wa miaka 18 ambaye amemaliza masomo yake hivi karibuni. Sheria za California zinasema sio makosa mtu kuwa katika uhusiano na binti ambaye yupo chini ya miaka 18 ilimradi tu hasishiriki tendo la ndoa mpaka pale muda utakapofika

Comments are closed.