The House of Favourite Newspapers

Washindi wa Droo ya Kwanza ya Shinda Nyumba Wapatikana

1

LINA MBAZI AKIPEWA ZAWADIMshiriki wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba, Lina Mbazi (kushoto) akipokea zawadi ya fulana kutoka kwa Mr. Uwazi.MWAKILISHI WA TING ANITA CHAWE (1)MWAKILISHI WA TING ANITA CHAWE (2) Mwakilishi kutoka Kampuni inayosambaza ving’amuzi vya TING, Anitha Chawe akitoa maelezo kuhusu king’amuzi hicho.IMG_3297Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers, Abdallah Mrisho (kushoto mwenye kofia) na Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Bakari Maggid (kulia) wakifuatilia kwa makini droo hiyo.IMG_3300Abdallah Mrisho, Bakari Maggid na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kulia) wakifuatilia droo ya kwanza ya Shinda Nyumba.IMG_3339IMG_3325IMG_3313Kuponi za kutafuta washindi wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba zikichanganywa.IMG_3367Majina ya washindi tisa (9) wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba iliyofanyika Mbagala-Zakhem jijini Dar leo.
IMG_3171Washiriki wakichangamkia magazeti ili waweze kujaribu bahati zao.IMG_3192Mshiriki akitumbukiza kuponi kwenye sanduku la kukusanyia kuponi.IMG_3199Mshiriki akijaza kuponi ya Shinda Nyumba.IMG_3208Wanenguaji wakitoa burudani.IMG_3215Mdada huyu akifanya yake stejini.NYUMBA (1)Vijana katika ubora wao.
IMG_3219Wakazi wa Mbagala wakifuatilia kwa karibu uchezeshwaji wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba.IMG_3255 (1)Jina la mmoja wa washindi likisomwa hadharani.
IMG_3259Mshindi akipokea zawadi ya fulana kutoka kwa Mr. Uwazi.

Droo ya kwanza ya bahati nasibu ya Shinda Nyumba imefanyika leo katika viwanja vya Mbagala-Zakhem jijini Dar huku washindi tisa (9) wa zawadi mbalimbali kama simu za kisasa, dinner sets (vyombo vya ndani), bed sheets, TV na Ving’amuzi vya TING wakipatikana.

Katika bahati nasibu hiyo inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers Ltd, msomaji anatakiwa kununua magazeti ya Global kadiri awezavyo na kukata kuponi, kisha kuijaza na kuituma kwa njia ya posta au kuifikisha moja kwa moja katika Ofisi za Global zilizopo Bamaga, Mwenge, Dar au hata kuwafikishia mawakala wa kuuza magazeti waliopo maeneo mbalimbali ya hapa nchini.

Masharti ya bahati nasibu hiyo hayaruhusu wafanyakazi wa Global, ndugu zao na watu walio chini ya umri wa miaka 18 kushiriki.

PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL

1 Comment
  1. […] Washindi wa Droo ya Kwanza =>bit.ly/1Tq5PTu […]

Leave A Reply