The House of Favourite Newspapers

Kumradhi Wasomaji Wetu

0


KUMRADHI WASOMAJI WETU: 
Kwa takriban siku tatu zilizopita mtandao wenu pendwa haukuwepo hewani au ulikuwa unapatikana kwa shida. Hii ilitokana na mabadiliko ya kiufundi yaliyokuwa yakifanyika kwa lengo la kuboresha ili wasomaji wetu wote mtupate kwa urahisi na kwa uhakika zaidi.

Pamoja tumesharejea tena hewani, lakini tunaendelea kupokea maoni ya wasomaji ambao bado wanakutana na matatizo ili tuendelee kuiboresha tovuti yenu na kuwa bora zaidi nchini na tunawaomba muendelee kutuvumilia katika kipidi hiki cha mpito.

Tunaomba muendelee kutuamini kwani kuna vitu vizuri zaidi vinakuja katika web site hii.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa uvumilivu wenu na kuwaomba radhi kwa usumbufu mlioupata wakati hatupo hewani.

Leave A Reply