The House of Favourite Newspapers

Kunenge Kukutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji

0

 

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Aboubakar Kunenge, anatarajiwa kukutana na wafanyabiashara na wawekezaji jijini humo  Desemba 10, 2020, kwa lengo la  kuwka mazingira bora ya uwekezaji na biashara ili kila mmoja aweze kunufaika na shughuli anayoifanya.

Amesema mazingira bora ya biashara na uwekezaji yatarahisisha ukusanyaji mzuri wa kodi na ongezeko la ajira kwa wananchi.

Leave A Reply