The House of Favourite Newspapers

Kupata Matibabu Kutoka kwa Madaktari Bingwa nje ya nchi Wacheki Tanlink Medical Tourism Agency

0

TANLINK MEDICAL TOURISM AGENCY ni taasisi ya Kitanzania inayojihusisha na kuratibu na kusimamia matibabu ya binadamu ndani na njea ya nchi.

Huduma zitolewazo na Tanlink Medical Tourism Agency kwa wagonjwa wanaohitaji kupata matibabu nje ya nchi ni pamoja na:-

  1. Kukutafutia Hospitali iliyobobea kwenye utatuzi wa changamoto kama yako.
  2. Kukutafutia Daktari mwenye ubobezi na uzoefu wa kutosha wa kutatua changamoto kama yako.
  3. Huduma ya kupata makadilio ya Gharama za matibabu ya changamoto yako kabla ya kukasafiri.
  4. Huduma ya kupata maoni mbadala kutoka kwa madaktari mbalimbali duniani uuu ya changamoto yako.
  5. Kuhakikisha unapata nyaraka zote muhimu zitakazo kusaidi kusafiri kenda kwenye matibabu, mfano Passport, Visa. M Ticket…Nk.
  6. Kusimamia matibabu yako utakapofika Hospitali kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho.
  7. Huduma ya kusimamia matibabu kwa watu mashuhuri na viongozi yaani VIP kwa kufuata Protokali inapatikana.
  8. Na zaidi ya hapo ni kuratibu mchakato mzima wa kurejea nyumbani baada ya kumaiza matibabu.
  9. Kufuatilia maendeleo yako baada ya matiababu na Kutoa mrejesho kwa Daktari wako hadi utakapopona kabisa.

Ili kupata huduma hizi usisite kuwasiliana na Tanlink Medical Tourism Agency

Kwa Mawasiliano

+255(0) 786 33 34 64

+255(0) 763 36 34 64

WEBSITE: www.tanlinkmta.co.tz
E-MAILS: [email protected]
INSTAGRAM : @tanlink.medical.tourism.agency

Leave A Reply