Kwa Takwimu Hizi… Ushindi Mkubwa wa Simba vs Yanga
HISTORIA ya Simba na Yanga kufungana mabao mengi pindi zinapokutana katika nyakati tofauti za utawala wa marais wa Tanzania zinasomeka hivi:
SIMBA USHINDI MKUBWA
Awamu ya Nyerere: 6-0
Awamu ya Mwinyi: 4-1
Awamu ya Mkapa: 4-1
Awamu ya Kikwete: 5-0
Awamu ya Magufuli: 4-1
YANGA USHINDI MKUBWA
Awamu ya Nyerere: 5-0
Awamu ya Mwinyi: 3-1
Awamu ya Mkapa: 3-0
Awamu ya Kikwete: 2-0
Awamu ya Magufuli: 2-0
Penalti za klabu: 42
Penalti alizofunga: 39
Ubora kwenye upigaji: 92.9%
Penalti za timu ya taifa: 3
Penalti alizofunga: 3
Ubora kwenye upigaji: 100%
Jumla ya penalti zote: 45
Penalti alizofunga: 42
Ubora kwenye upigaji: 93.3%
Penalti za klabu: 147
Penalti alizofunga: 125
Ubora kwenye upigaji: 85.0%
Penalti za timu ya taifa: 20
Penalti alizofunga: 14
Ubora kwenye upigaji: 70%
Jumla ya penalti zote: 167
Penalti alizofunga: 139
Ubora kwenye upigaji: 81.4%