The House of Favourite Newspapers

Kwa Teknolojia Hii, Hawa Jamaa ni Tishio Bongo – Video

CHUO cha Power Computers Training Centre kinachomilikiwa na PCTL kilichopo katikati ya Jiji la Dar es Salaam makutano ya Barabara ya Morogoro na India ambacho kina miaka 14 kikitoa taaluma mbalimbali zikiwemo ICT na uhasibu (accountancy) ambazo ni;

  • Ms-Office Basics
  • Tally Financial Accounting Package
  • PC Maintenance & Troubleshooting
  • Networking, Website Design & Development
  • Graphics Designing Courses.

Kwa sasa chuo hicho kinatambulika kitaifa ikiwemo Veta na kimataifa kwa nchi mbalimbali zikiwemo India na Uingereza.

PTCL kimeanzisha kozi mpya ya International Computer Driving Licence (ICDL) ambayo inamfanya msomi wa masuala ya TEHAMA aweze kujiimarisha, kuwa na uwezo/ujuzi mkubwa na kubobea katika masuala ya computer ili kumuwezeha kupata cheti cha kimataifa ambapo atasoma fani za digital/computer kimataifa ama kukubalika kufanya kazi hizo kimataifa.

Mbali za hivyo, PTCL inatoa pia kozi zifuatazo;

  • Level 3 – Diploma In Business (L3-DB)
  • Level 4 – Diploma In Business (L4-DB)
  • Level 5 – Diploma In Business (L5-DB)
  • Level 4 – Diploma In Business Information Technology (L4-DBIT)
  • Level 5 – Diploma In Business Information Technology (L5-DBIT)
  • Professional Development

Kwa maombi ya Chuo;

Piga: 0764 787 390 au 0655 489 473 au 0755 489 473

Email: [email protected] / [email protected]

TAZAMA HII VIDEO UONE MWENYEWE

Comments are closed.