Kwa Ujenzi Unaoendelea Dar ni Udhibitisho Tosha Rais Samia Ameamua Kuribadilisha Jiji la Dar,

CPA Amos Makalla amesema kila kona ya Jiji ni Dar es salam linatifuliwa watu wapo kazini na hii ni ishara tosha kwamba Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuibadilisha Dar es salam Leo ” Leo hapa tumekuja kuona Ujenzi wa Barabara 20 ndani za Jimbo la Ilala zinazojengwa kwa Mkupuo zaidi ya Bilioni 30 zinatumika kiukweli tumpongeze Dkt Samia.
Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla Leo amekagua Ujenzi wa Barabara 20 zinazojengwa ndani ya Jimbo la Ilala .
