The House of Favourite Newspapers

Lebo Inayomsimamia R. Kelly Yachukua Maamuzi Magumu Dhidi Yake

 

Lebo ya RCA/Sony inayosimamia kazi za msanii R.Kelly imeungana na harakati ambazo zinataka kazi za msanii huyo kusimamishwa kwa muda.

 

Lebo  hiyo imechukua maamuzi hayo kutokana mambo yanayomkabili,  ya kashfa ya unyanyasaji wa kingono na kwamba haitatoa muziki wowote wa R.Kelly kwa muda mpaka uchunguzi unaofanywa utakapokamilika.

 

Mkataba wa R.Kelly na lebo yake umebakiza albam mbili tu umalizike.  Hata hivyo,   kampuni hiyo imesema jambo hilo litashughulikiwa kwa njia moja ama nyingine ili limalizike.

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.