The House of Favourite Newspapers

Leticia Ghati wa NCCR atoa tamko

0

nccr1

Makamu Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi (Bara), Leticia Ghati Mossore akiongea na wanahabari (Picha na Naktaba yetu).

Makamu Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi (Bara), Leticia Ghati Mossore ameeleza kutoridhishwa na utaratibu uliotumiwa na mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kumwajibisha, asema ulikiuka katiba na kanuni za chama.

Mossore ameyaongea hayo wakati wa mkutano na wanahabari leo jijini Dar es Salaam.

Habari zaidi na picha vitawajia hivi punde.

 

Leave A Reply