The House of Favourite Newspapers

Leyla Genius Atokwa Machozi, Zari Mapito Amfanyia Surprise Valentine – Video

Habari njema! Binti Leyla (23) aliyepata scholarship ya kusomea udaktari India na kukatisha masomo yake kwa ugonjwa, tayari ameanza mazoezii ya kukaa na anaendelea vizuri ambapo amesema hivi sasa hata watu wakimuona hajisikii vibaya tena kwani anaamini atapona.

Furaha ya Leyla imeongezeka baada ya @zali_mapito kumfanyia surprise kwenye siku ya ‘Valentine’ Februari 14, ambapo alimzawadia vitu kadhaa kama sehemu ya kumtia moyo kwenye mapito haya anayopitia.

Bado Leyla anahitaji msaada wako ili apone kabisa!

Wasiliana na mama yake mzazi kwa msaada wowote:

📞 0679282278 ( Nuru Salehe Jumbe) 📞 0756809334 (Nuru Salehe Jumbe) Kusaidia kwa njia ya Benki ( NMB ) 23310010411 – Nuru Salehe Jumbe