The House of Favourite Newspapers

Licha ya Kuandamwa… R KELLY SHOO KAMA KAWA

LICHA ya sakata lake la un­yanyasaji wa mab­inti kingono kuende­lea kuwa juu kila kona, mkongwe wa R&B, R Kelly, ameibuka na kutangaza kufanya ziara barani Ulaya.

 

R Kelly ameamua kuchukua juku­mu hilo kupitia mi tandao y a kijamii na kueleza mpango wake wa ziara ya muziki katika nchi ya Australia, New Zealand na Sri Lanka. Pia amepanga kufanya shoo nch­ini Ujerumani mwe z i Aprili, mwaka huu.

 

Mipango hiyo ime kuja baada ya R Kelly kukataa mashtaka yanayomka­bili dhidi yake na kwamba hakuwa na hatia ya uhalifu wowote wa kingono, licha ya ‘documentary’ ya Surviving R Kelly iliyodondoka mtaani ikionesha namna jamaa alivyokuwa anafanya un­yanyasaji wa kijinsia, kimwili na kiakili kwa wasichana wenye umri wa chini ya miaka 18.

NEW YORK, Marekani.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.