Ligi ya Mabingwa – UEFA na Ligi ya Europa Kuendelea Wiki Hii!
Ukiacha ubora wa ligi mbalimbali za soka barani ulaya, kuna Ligi ya Mabingwa-UEFA pamoja na EUROPA ambapo huku inakutana miamba ya soka kutoka katika nchi mbalimbali.
Katika muendelezo wa Ligi ya Mabingwa – UEFA wiki hii, Juventus atawakaribisha FC Porto pale Allianz Stadium. Huu ni mchezo ambao Juve anaingia akiwa anamachungu ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza.
Je, Cristiano Ronaldo ataliongoza vyema jahazi la Andre Pirlo na kutinga hatua ya robo fainali? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.50 kwa Juventus kwenye mchezo huu.
Jumatano hii Liverpool ambaye anahali mbaya kwenye EPL msimu huu, atakuwepo pale Anfield kumkaribisha Nigelsmann akiwa na vijana wake wa RB Leipzig. Liverpool ameshapoteza michezo 6 akiwa Anfield na licha ya kuwa alishinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza kule Ujerumani, bado anakibarua kizito.
Kupitia Meridianbet, Liverpool amedhaminishwa kwa Odds ya 2.40.
Macho ya wengi yatakuwa pale jijini Paris ambapo PSG watavaa na Barcelona. Huu ni mchezo ambao unawakutanisha wachezaji nyota duniani kwa maana ya Lionel Messi, Neymar Jr na Kylian Mbappe. Barca ataingia uwanjani akiwa na maumivu ya kupigwa 4-1 akiwa pale Camp Nou kwenye mchezo wa kwanza.
Kupitia Meridianbet, PSG amepatiwa Odds ya 2.25 kwenye mchezo huu.
Kunako Ligi ya Europa alhamisi hii ni Olympiacos vs Arsenal. Miamba ya soka la Ugiriki vs Washika Mitutu wa London, hapatoshi!! Nani atainza safari ya kufuzu robo fainali kwa kishindo? Kupitia Meridianbet, Arsenal amepatiwa Odds ya 2.00.
Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!