The House of Favourite Newspapers

Ligi Ya Mataifa ya Ulaya Inaendelea na Meriadianbet Wamejipanga Kutoa Pesa kwa Ajili Yako.

0

Baada ya Ligi nyingi kusimama sasa moto umehamia kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Mataifa ya Ulaya yatakuwa uwanjani kuhakikisha heshima ya nchi inasimama na mashabiki wanapata burudani ya soka safi, Meridianbet hawajakusahau wanamtonyo wako.

 

Macho ya wapenzi wa soka hayatakuwa na ukungu usiku wa Alhamisi, wakati kijana wa Kifaransa Kylian Mbappe akiwa mstari wa mbele na wenzake kuhakikisha heshima ya taifa la Ufaransa inaendelea kuwekwa dhidi ya Austria. Meridianbet watakuheshimisha wewe na mkeka wako, tazama odds za gemu hii hapa.

 

Majira ya saa 21:45 Croatia watashuka dimbani kukipiga na Denmark, hapa heshima inatafutwa kule kuna Luke Modric na kule kuna Christian Eriksen. Una machaguo kibao ya kusuka jamvi lako hapa, tazama meridianbet wamekuwekea odds bomba mechi hii.

 

Huku mchezo mwingine utawakutanisha Poland dhidi ya Uholanzi, yaani ni hivi vita ni vita tu, Lewandowsk atakuwa na kibarua kingine mbele ya wachezaji wenzake De Jong na Memphis Depay. Hii nayo imepewa Odds kubwa, usiache hii kwenye jamvi lako, tazama odds zake.

 

Ubelgiji atawakaribisha wales huku Uturuki watamenyana na Luxembourg, na Slovakia atacheza na Azerbaijan, hawajasahaulika Latvia atakichafua na Moldova na upande mwingine ni Kazakhstan atakutana na Belarus. Mziki hautakuwa mwepesi, kikubwa weka dau lako mapema, tazama odds hapa.

 

Ijumaa sasa utamu ni kama wote, Brazil wenye mastaa wengi kama Neymar, Vinicious Jr n.k watakipiga na miamba ya Afrika Ghana ambao fainali za mwaka 2010 alifika hatua ya robo fainali, na kupoteza kwa mikwaju ya penati, Waafrika wengi waliumizwa sana na matokeo yale. Meridianbet wana pesa yako, weka jamvi lako la ushindi hapa!

 

Italia na Uingereza watatunishiana misuli yao uwanjani, huku wachezaji wakipewa jukumu kubwa zaidi la kuwakilisha na kutetea heshima ya mataifa haya makubwa duniani. Huku Ujerumani watakipiga na Hungary, hii ngoma yeyote anaweza kushinda. Meridianbet wamekuhakikishia Odds kubwa kwenye machaguo mengi, tazama hapa!

 

Pia, mbali na ubashiri wa kichezo una nafasi ya kushinda zaidi kwenye michezo ya kasino, furahia michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kujiweka kwenye nafasi bora ya kushinda casino jackpot.

Leave A Reply