LIMBWATA: MWANAMKE AMGEUZA MUMEWE KUWA JOKA LA MAAJABU

Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kua joka kubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya mumewe ampende yeye tu.

 

Mwanamke huyo alietaka mumewe awe mtu wa kushinda kunyambani tu kwa ajili ya kufanya naye mapenzi, alikwenda kwa mganga wa kienyeji na kupewa dawa iitwayo ‘ZUNGULILA KONDE’ huko kwao hapa kwetu Bongo wanaita ‘Limbwata’.

 

Inaelezwa kwamba, mwanamama huyo alipofika nyumbani kwake, alifanya kama alivyoelekezwa na mganga wake, lakini alishangaa baada ya kumpa dawa hiyo mumewe ghafla alianza kugeuka kuwa joka kubwa na kutisha.

 

Sasa anatafuta namna ya kumrejesha mumewe katika hali ya kawaida lakini inamuwia vigumu kwa sababu mganga wake yuko Malawi na madereva wanakataa kumpakia mama huyo pamoja na joka lake kwenye usafiri wa uma.

Nini maoni yako hapa…!

================

Young Killer Apanda na Nguo za Trafiki Jukwaani Jamuhuri ”WASAFI FESTIVAL”

Toa comment