LIQUID MASTER: Nampenda WEMA Sepetu – Video

 

Jina lake halisi anaitwa Pierre lakini anajulikana zaidi kwa jina la ‘LIQUID MASTER‘ na umaarufu wake umetokana na ulevi wa pombe kupita kiasi ambapo video zake zilianza kusambaa mitandaoni zikimuonesha akiwa amelewa na kufanya vituko ambavyo viliwashangaza na kuwavuti wengi na hapo ndipo njia yake ya umaarufu ikafunguka.

 

Global TV imefanya mahojiano na Pierre na amefungua kuhusu vitu vingi,…..

Tazama video hii mpaka mwisho umjue Pierre vizuri

Toa comment