The House of Favourite Newspapers

LISSU AFUTIWA MSHAHARA NA POSHO ZAKE BUNGENI – VIDEO

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amethibitisha kuwa Uongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Spika wake, Job Ndugai na katibu wa Bunge, Steven Kagaigai umemfutia rasmi mshahara wake na posho za kibunge kwa kile alichoeleza kuwa ofisi ya spika imesema haina taarifa zake kuhusu aliko na anachokifanya.

 

“Wamenifutia mshahara rasmi lakini hii haitonikatisha tamaa wala kunirudisha nyuma,” amesema Lissu.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Comments are closed.