The House of Favourite Newspapers

Lissu Sasa Yupo Fiti, Cheki Akifanya Mazoezi – Video

AFYA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu imezidi kuimarika ambapo ameonekana akifanya mazoezi ya kutembea nchini Ubelgiji anakoendelea na matibabu.

Lissu kwa sasa anaonekana yupo fiti kiafya tofauti na kipindi cha nyuma wakati anahimishiwa nchini humo kwa ajili ya matibabu zaidi. Lissu alishambuliwa kwa risasi akiwa katika makazi yake mjini Dodoma Septemba 7, 2017.

Comments are closed.