Kartra

​​ Iringa: Mazishi Ya Hans Poppe, Mwili Wake Unafanyiwa Ibada Kanisani Muda Huu-Video

 

MWILI wa Aliyekuwa mjumbe wa kamati ya haki na sheria za wachezaji (TFF) na Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi (Simba SC), Zacharia Hans poppe, umefanyiwa ibada katika kanisa lililopo mkoani Iringa na unatarajiwa kuzikwa leo mkoani humo.


Toa comment